Nalala ya AnnurTanzania wiki hii

Usikose nakala yako ya Annur kila Ijumaa
Nakala nzima ya toleo lililopita la Annur kwa sura ya PDF
DONDOO MUHIMU
1 Wasiwasi watanda....
Shule za Kiislamu kufutwa
- Kundecha awataka Waislam kuwa macho
- Je, ni kufanyia kazi wasiwasi wa Mungai?
2 Kauli ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda inatisha!
- Mh. Selasini katimiza wajibu wake
- Ukristo wake, haukubali mambo hayo
- Kila Mchunga ataulizwa…
- Siku zitakapodhihirishwa Siri
3 Mheshimiwa Mbunge alikosea…
Askofu ‘hawezi kuwa gaidi’!
Apania kuua Waislamu kijiji kizima lakini…
-Hajashitakiwa kwa tuhuma za ugaidi
-Hata katika ule utaratibu wetu wa kawaida…
-Waliokamatwa Arusha walikuwa Waarabu
4 Vitimbi vya CCM
- Na Salma Alghaithiya
5 Indonesia, Malaysia kupokea wakimbizi Waislamu
- Makaburi ya halaiki yagunduliwa
6 CIA chanzo cha ugaidi Kenya
7 Propaganda za udini shuleni Tanzania-4
- Na Profesa Ibrahim Noor Shariff]
8 Nabii aliyekuwa akingojewa
- Zisemavyo Taurati na Zaburi za Mayahudi na Wakristo
9 Siasa kali, wachambuzi feki
10 Hatari ya ‘Salaf bandia’
-Chimbuko lake Saudi Arabia
-Lengo kulinda ufalme, uzayuni
11 Mchango wa Waislmau katika maendeleo ya Dunia - 12
- Ibn Al-Baitar (12)
Ingia katika link hii hapa chini kupata toleo zima la Annur

ANNUUR 1179.pdf by annurtanzania

No comments:

Post a Comment