Ndugu Waandishi Tume ya Uchaguzi inapenda
kutoa taarifa kuwa imekamilisha kazi yake ya uchunguzi wa Idadi, Mipaka
na Majina ya majimbo ya Uchaguzi. Tume imeongeza idadi ya majimbo manne
ya uchaguzi ya Wawakilishi na kufanya jumla majimbo yote kuwa 54 badala
ya 50 yalokuwa ya awali.
Baada ya maelezo hayo, sasa naomba
niwatangazie majimbo ya uchaguzi yatakayotumika katika uchaguzi wa mwaka
2015. Soma zaidi hapa: –
No comments:
Post a Comment