Wabunge CUF Wafanya Press Confrence Kuzungumzia na Kutoa ufafanuzi juu ya Zomea Zomea Iliyotokea Bungeni Juzi Tarehe 20/11/2015.

 Wabunge CUF Wafanya Press Confrence Kuzungumzia na Kutoa ufafanuzi juu ya  Zomea Zomea Iliyotokea Bungeni Juzi Tarehe 20/11/2015.

Zaidi ni kueleza Kwamba Kilichofanya ni kitendo halali na cha kikatiba :

1. Katiba ya Zanzibar Ibara ya 28 (2) iko wazi kwamba ukomo wa Rais ni Miaka 5 tuuu.

2. Uchaguzi wa zanzibar umemalizika na Rais halali ni Malim Seif, hivo tume irudi Mezani kumalizia Mchakato.

3. Kwamba Shein si Rais wa Zanzibar kwa mijobu wa Katiba.

4. Uchaguzi zanzibar Hakuna na hautorejewa kamwe, Uchaguzi Umeisha, Mshindi kapatikana, ATANGAZWE NA SI VYENGINEVYO, na mwisho

5. Mapambano Yataendelea Ndani na Njee ya Bunge hadi haki Ipatikane.

No comments:

Post a Comment