Toleo la Ijumaa hii la gazeti la Annur

DONDOO MUHIMU
1 Tanzania, sasa kondoo anayesubiri kuchinjwa
- Magazeti yanalitoa Jini katika chupa…
- Polisi, JWTZ hawamuwezi subiani huyu

2 Hoja ni afya ya muunganosio umri wake- Awadh Said
3 Serikali yetu inasikitisha!
- Imezoeya kulea matatizo
- Wananchi wakikwama, nayo…Inakwama katika namna mbaya
4 Watoto wetu wanafundishwa Historia ya kughushi shuleni
- Ni kutokana na chuki za kidini
- Mzungu ageuzwa kuwa Muarabu
5 Tunahitaji wasomi wenye kuutambua ulimwengu wa leo
6 Ni nchi ya Wazanzibarisio ya wana-CCM, CUF
7 Siri kubwa ya vita Yemen yafchuka
- Mabeberu wamezea mate kisima cha mafuta
- Ni kikubwa zaidi duniani. Hakuna mfano wake
- Kiligunduliwa siku nyingi ikawa siri ya Marekani
- Rais kibaraka akaambiwa asiseme kwa wananchi
8 Tanzania na Propaganda za Udini
9 Mjue Abdurahman Ali Msham (mkombozi wa Tanganyika)

1 comment:

  1. asalam aleykum samahani tangazo la scholarship kwa undergraduate naweza lipataje nataka kupata nafasi ya kwenda kusoma sudani

    ReplyDelete