WAZANZIBARI WAKIWA KWENYE MAPOKEZI YA MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CHAMA CHA CUF

Maelfu ya Wanachama wa CUF  leo waliomiminika Kumpokea Mgombea Urais wa CUF huko uwanja wa Ndege wa Kurume, Pemba na kutembea kwa miguu hadi  katika mji wa ya Chake Chake na baadaye Viwanja vya Tibirinzi, kisiwani Pemba leo asubuhi kumpokea Maalim Seif Sharif Hamad ikiwa ni mara yake ya kwanza kufika katika kisiwa hicho baada ya kupitishwa rasmi na Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la CUF kuwa Mgombea Urais wa Zanzibar katika uchaguzi mkuuu utakaofanyika October Mwaka huu  Wananch iwa Kisiwa cha Pemba waliofika Uwanja wa Ndege kumpokea Makam owa Kwanza wa Rais huku wakimsindikiza kwa Miguu kwa kupitia mitaa ya Mj iwa Chake chake kuelekea uwanja wa Timbirizi PEmba.u.

No comments:

Post a Comment