Video Magenge ya Kipolisi Kilimani wakiwa na silaha

WAKATI VIONGOZI WA JUU WA SMZ, POLISI NA VIKOSI VIITWAVYO MAALUUM VIKIUSUTA ULIMWENGU JUU YA HALI YA VITISHO INAYOENDELEA KATIKA UANDIKISHAJI WA WAPIGA KURA ZANZIBAR, HIVI NDIVYO HALI ILIVYOKUWA MAENEO YA KILIMANI, ZANZIBAR JANA TAHERE 29 JUNI 2015TUTAENDELEA KUWALETEA VIDEO NYENGINE YA HALI ILIVYOKUWA KWENYE MAJIMBO NA VITUO VYA UANDIKISHAJI

Posted by Zanzibar Kwanza on Tuesday, June 30, 2015

No comments:

Post a Comment