Ziara ya Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Kisiwani Pemba February 2017

Image may contain: 5 people, people standing and outdoor

Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif alipowasili kisiwani Pemba February 15Ziara ya kukagua uhai wa Chama akiwasili kwenye uwanja wa Ndege wa KArume Kisiwani Pemba.



Image may contain: ocean, sky, outdoor, water and nature

Msafara wa Katibu Mkuu Mallim Seif akieleeka kisiwa cha Makoonwge kusini Pemba
Wananchi wa Kisiwani Pemba wakiwa wamejipanga kwa Shauku kubwa kumpokea katibu mkuuu wa CUF

Image may contain: 1 person, standing, crowd, tree, outdoor and nature
Maalim Seif Rasi wa Nyoyo za Wazanzibari akiwasili Kisiwa cha Makoongwe
Image may contain: 1 person, standing, crowd, outdoor and nature
Maalim Seif akivuuka kwenye maji baada ya kufika kisiwa cha Makoongwe kuwasalmia wananchi wa Kisiwa hicho na kuangalia utendaji wa Chama cha CUF

Na picha ya Chini Ziara ya Maalim Seif kisiwani Pemba imeendelea  kwa kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Tawi la Chama Kichuwani, katika Jimbo la Ziwani, Wilaya ya Chake Chake.

Katibu mkuu akwiahutubia wana CUF na Viongoziwa Chama wa Jimbo la Mtambile kisiwani Pemba
Image may contain: 1 person, standing and crowd
Kipenzi cha Umma, Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na wanachama wa Tawi jipya la CUF la Mchakwe, katika jimbo la Kiwani, Wilaya ya Mkoani, baada ya kulifungua rasmi leo.Picha Maelezo haya ni Pciha ya juu katibu mkuu akiwahutubia Wananchi wa Kisiwani Pemba
Image may contain: 2 people, crowd and outdoor

Shauku kubwa ya wananchi wA Pemba wakizunguka magari ya Msafara wake  kuupokea na kuenda kumsikiliza.
Image may contain: 1 person, standing and outdoor


Ziara ya Mkoa wa Kusini Pemba kwenye Jimbo la Mtambile.
Image may contain: 6 people, crowd

s
hughuli nyengine muhimu aliyoifanya Maalim Seif Sharif Hamad  katika mwendelezo wa ziara yake kisiwani Pemba ni kuzindua Waratibu wa Chama kwa Matawi 98 ya Wilaya ya Chake Chake ambayo ina majimbo matano.
Image may contain: 1 person, crowdImage may contain: 2 people, people standing
Image may contain: 4 people, people standing
Katika Mkoa wa kaskazini Pemba amabako ndio nyumbani kwao alikozaliwa Maalim Seif alikwenda kijijini kwao Nyali huko Mtambwe na kufika kwenye kaburi la baba yake na kuomba dua wazazi wake Image may contain: one or more people, people standing and outdoor

No comments:

Post a Comment