Headlines News :
KARIBU CUF DIASPORA NETWORK - CUF HAKI SAWA KWA WOTE...TEGEMEA KILA JIPYA NA ZURI KUTOKA KWETU...LIKE PAGE YETU KWENYE FACEBOOK
Home » , » Dr. Karume na Maalim Seif Wafutari pamoja

Dr. Karume na Maalim Seif Wafutari pamoja

Rais mstaafu wa Zanzibar Dr. Amani Abeid Karume na Maalim Seif Sharif Hamad kwa pamoja wamejumuika na waumini wenzao katika futari ya pamoja iliyofanyika katika Msikiti wa Mbweni, na wote wawili wamesisitiza nia yao ya kuendelea kusimamia amani, umoja na maridhiano ya Wazanzibari, Waumini waliohudhuria wamefurahishwa sana khutba za viongozi hao.

Dr. Karume akitoa maneno mawili matatu na nasaha kwa hadhira baada ya futari   
Maalim Seif, Dr. Karume na waalikwa wengine

Share this article :

No comments:

Post a Comment

 
Support : ZENJIBARZA
Copyright © 2011. ACT WAZALENDO DIASPORA NETWORK - All Rights Reserved