Headlines News :
KARIBU CUF DIASPORA NETWORK - CUF HAKI SAWA KWA WOTE...TEGEMEA KILA JIPYA NA ZURI KUTOKA KWETU...LIKE PAGE YETU KWENYE FACEBOOK

ABOUT CUF



Kuhusu CUF


Chama cha Wananchi au Civic United Front (CUF) ni chama cha kisiasa nchini Tanzania. CUF iliwasilishwa rasmi Januari 1993.CUF ilianzishwa mwaka 1992 kutokana na maungano ya shirika mbili.
  1.   kikundi cha kupambania demokrasia kwenye visiwa vya Unguja na Pemba
  2. Civic Movement iliyokuwa kundi la kupigania haki za binadamu la Tanzania bara

  1. The Civic United Front was formed on 28 May 1992 through a merger of two formerly existing movements - KAMAHURU, a pressure group for democratization in Zanzibar, and the Civic Movement, a human rights organization based on the mainland.
    Many CUF leaders were former stalwarts of the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM), some of whom had been expelled over disputes about party and government policy. The party received full recognition on 21 January  kikundi cha kupambania demokrasia kwenye visiwa vya Unguja na Pemba
  2. Civic Movement iliyokuwa kundi la kupigania haki za binadamu la Tanzania bara.
Kama ilivyo katika vyama vingine vipya za Tanzania viongozi wengi waliwahi kuwa wanachama wa CCM.

Uongozi

  • Mwenyekiti : 
  • Makamu wa Mwenyekiti:
  • Katibu Mkuu: Seif Shariff Hamad
  • Naibu Katibu Mkuu Bara : Magdalena Sakaya 
  • Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Nassor Mazrui.

CUF ilishiriki katika chaguzi za Tanzania Bara  pia za Uchaguzi wa Zanzibar

Ilifaulu vizuri kwenye visiviwa vya Zanzibar hasa Pemba lakini ilibaki hafifu Tanzania bara. Hata hivyo ni chama kikubwa cha upinzani katika bunge la Tanzania chenye wabunge 30 kati ya 324 kwa jumla.

Katika kura za Zanzibar CUF ilifikia tokeo rasmi la 49.76% mwaka 1995 na 46.07% mwaka 2000. Watazamaji waliona kila kura ilikuwa na kasoro na CUFhaikukubali matokeo ikidai ya kwamba serikali ya SMZ ilibadilisha matokeo ya kweli.

Baada ya uchaguzi wa 2005 CUF ina wabunge 19 katika bunge la Zanzibar.
Uchaguzi wa 2010 CUF iliingia kwenye serkali ya Mseto ya Umoja wA Kitaifa na kuunda seriali ya mseto pamoaj na CCM .

Uchaguzi wa 2015 Chama Cha CUF hakikusimamisha mgombea wa Urais wa Muungano au Tanzania kiliingia kwenye makubaliano kumuunga mkono Mgombea wa Umoja wa Vyama vya upinzani wa Umoja wA Ukawa ambae alikua Mheshimiwa Edward Lowassa.
CUF Uchaguzi wa Wabunge ilishinda viti vingi Bara na Zanzibar.

Kwenye urais wa Zanzibar October 25 ,2015 chama cha CUF kilimsimamisha Katibu mkuu wake Seif Sheriff Hamad na kupata ushindi mkubwa wa kumshinda Mgombea wa CCM Dr ALi Mohammed Sheni alieshindwa na Mgombea wa CUF kwa kura zaidi ya 25000. Tume ya uchaguzi kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi vya Muungano waliamua kwa makusudi kuufuta uchaguzi wa Zanzibar Kinyume cha Katiba na Kutangaza Uchaguzi Mwengine March 20 2016.
CUF iliamua kutokubali kuingizwa kwenye mtego wa kuvunja katiba ya Zanzibar na kukiacha chama cha Mapinduzi kuongoza Zanzibar kinyume cha katiba kwa lugha nyengine ni serkali haramu ilipo madarakani isio wakilisha matakwa ya Wananchi wa Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

 
Support : ZENJIBARZA
Copyright © 2011. ACT WAZALENDO DIASPORA NETWORK - All Rights Reserved