Headlines News :
KARIBU CUF DIASPORA NETWORK - CUF HAKI SAWA KWA WOTE...TEGEMEA KILA JIPYA NA ZURI KUTOKA KWETU...LIKE PAGE YETU KWENYE FACEBOOK

MATANGAZO YA REDIO

Assalaam alaykum mpendwa msomaji wa Blogi yetu hii, Kwa hakika kila Biaadamu anayo haki ya kupata habari na kujua yanayojiri katika jamii inayomzunguka hivyo kupitia ukurasa huu in shaa Allah utapata fursa ya kusikiliza na kusoma habari na makala na vipindi vyengine vilivyoandaliwa na Redio mbali mbali hapa Nchini na Nje pia,

 1. Radio Sauti ya Amerika Kiswahili
 2. Sauti ya Jamhuri ya Kiislam ya Iran - Radio Tehran.
 3. Radio Sauti ya Ujerumani - Deutsche Welle Kiswahili.
 4. Radio BBC London - Uingereza Kiswahili.
 5. Radio China International Kiswahili.
 6. Radio Japan Kiswahili.
 7. Radio Ufaransa Kiswahili.
 8. Radio ya Umoja wa Mataifa UN Kiswahili.
 9. Radio Cairo Kiswahili - Egypt.
10.Global Voice Online
11.Radio Adhana Zanzibar


Tegemea kupata kila zuri kutoka kwetu.

No comments:

Post a Comment

 
Support : ZENJIBARZA
Copyright © 2011. ACT WAZALENDO DIASPORA NETWORK - All Rights Reserved