Headlines News :
KARIBU CUF DIASPORA NETWORK - CUF HAKI SAWA KWA WOTE...TEGEMEA KILA JIPYA NA ZURI KUTOKA KWETU...LIKE PAGE YETU KWENYE FACEBOOK

Msaada Kwa watu wa Tumbatu

Kwa msaada wa watu wa Tumbatu tafadhali wasiliana na Naibu katibu Mkuu Mh. Nassor Ahmed Mazrui na atawapa maelekezo, kwa namba hii +255 777 426 975 na kama namba ipo busy au haipokelewi wasiliana na Katibu wake kwa namba hii +255 777 590 777 .









Vile vile wanaweza kuwasiliana na Mh. Hamad Masoud kwa namba +255 718 431 386 kwa maelezo na msaada zaidi.

tujitahidini kuwasaidia ndugu zetu hawa wapo katika mazingira magumu sana.

No comments:

Post a Comment

 
Support : ZENJIBARZA
Copyright © 2011. ACT WAZALENDO DIASPORA NETWORK - All Rights Reserved