skip to main |
skip to sidebar

Nimeraghibika kuitumia picha hii leo kuwapa nasaha vijana wanaochipukia kupenda siasa na ambao wanadhihirisha uzalendo mkubwa kwa nchi yetu Zanzibar kwamba wasome na kukaa na wazee wenye hazina ya maarifa na historia ili waweze kuijua zaidi Zanzibar na pia kuongeza maarifa yao katika siasa na historia....... Soma habari kamili

ZEC yatangaza majimbo 4 mapya mengine yafutwa....... Soma habari kamili

Maalim Seif achukua fomu ya kugombea urais Z'bar...... Soma habari kamili

Nakala ya Aly Saleh - HAKUWEZI KUWA NA UCHAGUZI WA HAKI ZANZIBAR ......Soma habari kamili
Mansour Yussuf Himid ajitupa Uwakilishi CUF Kiembe samaki...... Soma habari kamili

Vitambulisho vyazua balaa Pemba...... Soma habari zaidi
Subscribe to:
Comments (Atom)
Popular Posts
- TAMKO LA UMOJA WA KLABU ZA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA JUU YA KUTEKWA KWA MWANDISHI WA HABARI WA SAUTI YA UJERUMANI ( DW ) SALMA SAID.
- Wabunge CUF Wafanya Press Confrence Kuzungumzia na Kutoa ufafanuzi juu ya Zomea Zomea Iliyotokea Bungeni Juzi Tarehe 20/11/2015.
- CUF wasisitiza kutorudia Uchaguzi Mkuu
- CUF WACHAGUA BARAZA KUU
- Mkutano wa Maalim Seif na waandishi wa habari baada ya ushindi wa mahakamani
- (no title)