Mbunge wa Mtwara Mjini (CUF), Maftaha Nachuma, amefanya yale yaliyowashinda wengi kwa miaka mingi tu kwa kununua mabasi mawili kwa ajili ya usafiri wa walimu na wanafunzi katika jimbo lake na kuwasafirisha bure kwa lengo la kuwezesha kuinua kuwango cha elimu jimboni kwake.
Tupia neno moja tu kwa Mbunge huyu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
- Jana,Leo na Kesho.
- Dr. Karume na Maalim Seif Wafutari pamoja
- MAALIM SEIF AHITIMISHA ZIARA YAKE NCHINI MAREKANI
- US DEMOCRACY PROMOTION IN AFRICA WHY ZANZIBAR MATTERS.
- MAZOMBIE NI POLISI SHIRIKISHI
- Hakuna Kulipiza Kisasi - Maalim Seif
- Sitta akiwadanganya wana Diaspora wa US kama watoto wadogo.Sitta hafai, mpotoshaji, na mchochezi.
No comments:
Post a Comment