Headlines News :
KARIBU CUF DIASPORA NETWORK - CUF HAKI SAWA KWA WOTE...TEGEMEA KILA JIPYA NA ZURI KUTOKA KWETU...LIKE PAGE YETU KWENYE FACEBOOK
Home » » RIPOTI ILIYOFIKISHWA KWA BAN KI MOON HII HAPA

RIPOTI ILIYOFIKISHWA KWA BAN KI MOON HII HAPA

 Hili hapa ndilo Tamko Kamili la Shirikisho la Kimataifa la Vyama vya Kiliberali (Liberal International - LI) ambalo limewasilishwa mbele ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (United Nations Human Rights Council - UNHRC) katika Mkutano wake wa 33 kutaka jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusiana na masuala ya ukiukwaji wa demokrasia na haki za binadamu Zanzibar.

Liberal International (LI) Written Statement to the 33rd session of the United Nations Human Rights Council (UNHRC) urging action by the international community against the United Republic of Tanzania and calling for upholding of democracy and rule of law in Zanzibar.

Zaidi Soma katika Document hapo chini.

https://www.scribd.com/document/324745538/LI-Written-Statement-to-33rd-UNHRC-as-Published


Share this article :

No comments:

Post a Comment

 
Support : ZENJIBARZA
Copyright © 2011. ACT WAZALENDO DIASPORA NETWORK - All Rights Reserved