TUKUTANE MAHAKAMA KUU KESHO TAREHE 28/8/2017 SAA 7 MCHANA KWA AJILI YA KUSIKILIZA “substantive issues raised in the pleadings that may have to be determined by the court after perusal of evidence.”
TATIZO KUBWA TULILOKUWA NALO NI UWEZO WA KIAKILI (INTELLECTUAL CAPACITY) JUMA DUNI HAJI ANAUITA “MFINYANGO”:
Tatizo kubwa tulilokuwa nalo ni uwezo (Capacity) mfumo wa elimu tuliokuwa nao na lishe duni toka tomboni mwa mama mpaka kufikia umri wa miaka 5 ambapo kisayansi inaelezwa kuwa ndicho kipindi cha ukuwaji na utengenezwaji wa mfumo wa ubongo wa mwanadamu. Baada ya hapo Ubongo huwa haukuwi tena bali ni kuwekwa vitu kwa ajili ya matumizi-kutumika. Mfumo huo kitaalamu unaitwa IQ-intelligance Quotient (measure) ambapo pakitokea makosa na mapungufu basi ASILI YA UDUMAVU WA AKILI YA MWANADAMU INAANZIA HAPO. IQ-Range za watanzania wengi ziko chini ya asilimia 25 (below 25(%) percent) hii ni kwa mujibu wa mtaalamu wa masuala haya ya IQ-Studies and Theories derived by Mr Alfred Binet (France). Alfred ametufundisha kupima umri wa mtu kwa umbile (Chronological Age) na umri wa Kiakili (Mental Age) na ndio maana jana tuliandika kuhusu wasiwasi wa Afya ya Akili ya Mbunge wa Kongwa. Maarifa na elimu zimejaa katika mitandao –(Digital Technologies) tatizo tulilonalo ni uvivu wa kujifunza. Unaweza mkuta mtu ana kiwango cha juu kielimu digrii au profesa lakin kichwani ni boksi tupu. Vyeti FEKI. Sikwambii hawa ‘makabwela wa Lipumba’ mtu anaandika wala hupati maana, hupati tafsiri sahihi ya alichokiandika. Huu ndio mfinyango’ waweza mkuta mwandishi wa habari anaandika habari za mahakama kama vile habari za ‘udaku’ ili apate soko la bidhaa yake kesho yake Mahakama inaamua vingine kabisa.
Ni tatizo na aibu kwa mwanasheria/wakili kuandika hoja zenye matege, utumbo mtupu na kumpa msemaji wa Lipumba kuuposti utumbo huo. Mnatupa kazi kila wakati kuwaeleza nini hasa kimetokea mahakamani. Mwanasheria anapokuwa hajui nini tofauti kati ya Pingamizi(Objection) na Zuio (Injunction) ni katika hali ileile ya Mfinyango’ –Capacity.
The Concept and Legal Definition of Preliminary Objections:
Preliminary Objections are points of law or fact raised at the outset of a case or lawsuit by the defence without going into the merits of the case. In other words, preliminary objections take no account of the validity of the claims of the claimant or plaintiff. Preliminary objections are generally a form of pleadings by lawyers around the world in common law jurisdictions. While the exact term of usage may vary across different legal jurisdictions, the fundamental principle is the same. Instead preliminary objections may be taken on the basis of the following: 1. The jurisdiction of the particular court or tribunal to hear the case is lacking. Jurisdictional objections may be in regard to either territory. 2. The suit discloses no cause of action. 3. The suit is time-barred by limitation. 4. The relief claimed by the claimant in the suit cannot be granted by the Court, either because it is barred in law or the Court has no jurisdiction to grant the relief claimed or otherwise in fructuous. 5. The doctrine of Res Sub Judice.
It may be noted that preliminary objections are narrow in scope and cannot raise substantive issues raised in the pleadings that may have to be determined by the court after perusal of evidence. The maximum relief that a preliminary objection can seek is a return of the suit (not a dismissal on merits) to the claimant/plaintiff with appropriate directions.
Understanding the nature and scope of preliminary objections is very important for practicing lawyers. Knowing how to raise a properly formulated preliminary objection, and when to raise it,
The Concept and Legal Definition of Injunction:
A court order by which an individual is required to perform, or is restrained from performing, a particular act. A writ framed according to the circumstances of the individual case. An injunction commands an act that the court regards as essential to justice, or it prohibits an act that is deemed to be contrary to good conscience. It is an extraordinary remedy, reserved for special circumstances in which the temporary preservation of the status quo is necessary. Injunctive relief is not a matter of right, but its denial is within the discretion of the court. Whether or not an injunction will be granted varies with the facts of each case. The courts exercise their power to issue injunctions judiciously, and only when necessity exists. An injunction is usually issued only in cases where irreparable injury to the rights of an individual would result otherwise. It must be readily apparentto the court that some act has been performed, or is threatened, that will produce irreparable injury to the party seeking the injunction. An injury is considered irreparable when it cannot be adequately compensated by an award of damages. Injunctive relief is not a remedy that is liberally granted, and, therefore, a court will always consider any hardship that the parties will sustain by the granting or refusal of an injunction. The court that issues an injunction may, in exercise of its discretion, modify or dissolve it at a later date if the circumstances so warrant.
Types of Injunction: 1. Preliminary A preliminary or temporary Injunction. 2. Preventive Injunctions. 3. Mandatory Injunctions 4. Permanent or perpetual Injunctions
Hii ndio tofauti kati ya Pingamizi (Objections) na Zuio (Injunction) Nimeacha kutafsiri kwa kuchelea nafasi za kurasa kuwa nyingi. Msemaji wa Lipumba huyo anayekuandika maandiko yako inaonekana ana VYETI FEKI ITABIDI AFANYIWE UHAKIKI. elewa kuwa Wabunge hawajawasilisha Pingamizi kama unavyosema wamewasilisha Maombi (Application) “…..uamuzi huo haumaanishi maombi ya mapingamizi mengine ya Wabunge na Madiwani hao hayatosikilizwa, ambapo yataanza kusikilizwa August 31, 2017” HAPANA. Tarehe hiyo ni kwa ajili ya kusikiliza Shauri la Msingi namba 143/2017 “MAHAKAMA imeyatupa mapingamizi mengine na itasikiliza maombi hayo 28/8/2017” HII NI KONFUSION. Imetupa nini? Inakwenda kusikiliza nini kesho? “KESI IMEAMULIWA KUENDESHWA KWA WRITING SUBMISSION,'S” kithungu hiki jamani cha huyu anayemuandikia Msemaji wa Lipumba ni shida tupu. Usahihi ni “WRITTEN SUBMISSION”. Kifupi Lipumba na wenzake wanabebwa na Hoja za Mwanasheria Mkuu wa Serikali Gabriel Malata ndio maana wameshindwa kuandika maelezo ya Pingamizi lao kwa Kizungu-Kiingereza na kuyawasilisha kama ilivyopangwa. Mahakama haikuyazingatia mapingamizi hayo kwa kuwa hayakuwa hoja za maandishi za ufafanuzi wake.
NAULIZWA SANA KUHUSU FEDHA ZA RUZUKU JE ZIMETOLEWA?
Muombeni Msemaji wa Lipumba awape ile ORDER aliyosema siku ileeeeeeee kuwa ataiweka hapa.
STAY TUNE:-
Hapa hapa tunapiga picha hii ORDER Kila MTU aisome.
Ila imeandikwa Kizungu mwambieni mbarala achukue Dictionary au mkalimani.
[Breaking news
Kutoka Mahakama Kuu '
Jaji Ndyansobera ameifuta ORDER 《Temporary Injunction 》 No 28/2017 leo 18/2017 . TUPO HAPA MAHAKAMANI TUNASUBIRI "SIGN" YA JAJI.
Ni baada ya Kalani wa JAJI NDYANASORA kumaliza Kuchapa ORDER hiyo. Na David Maphone.]
Hahahahahaaaaaaaaaaa --- Mashauri/kesi ni mchakato. Hakuna Court Order’ mpaka sasa. Fedha za Ruzuku zote ziko salama salmini. Mpaka pale Mahakama itakapotoa Amri ya vinginevyo ambayo mpaka sasa hakuna Amri hiyo. klichozungumzwa Buguruni jana ni Bodi Feki imepeleka barua ya kuomba kufunguliwa akaunti zilizofungwa hapo awali katika benki mbalimbali na kwa kuwa fedha zilizoibwa shilingi 369 mwezi January, zilikuwa hazijatolewa katika akaunti zao ndio wakawaomba viongozi wa wilaya wakachukue fedha hizo. Lakini Bilioni 1.518 ipo salama Hazina Kuu.
CUF NGANGARI.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
- Uchaguziwa Mwenyekiti mpya wa CUF leo
- Taarifa kwa vyombo vya habari
- Maalim Seif na Fimbo ya Mussa
- Kituko cha Sheha na dada yangu
- WAZANZIBARI WANAYE RAIS WAO WA MOYONI
- CUF Zanzibar Yamtaka Rais Magufuli Aondoshe Majeshi yake Zanzibar
- MAAAMUZI YA BARAZA KUU LA UONGOZI LA TAIFA LA THE CIVIC UNITED FRONT (CUF - CHAMA CHA WANANCHI) KUHUSIANA NA HUJUMA ZA DOLA DHIDI YA CUF
No comments:
Post a Comment