CUF WAFUNGUA OFISI YA KISASA WETE PEMBA
UZINDUZI WA OFISI YA WILAYA YA WETE WAKAMILIKA PUNDE TU.Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi-CUF taifa Mhe. Prof.Ibrahim lipumba:The Creative economist of Africa tayari ameshalifungua jengo la ofisi ya wilaya ya Wete ya CUF.Ni ofisi ya kisasa na ya kupigiwa mfano kwa ofisi za chama chetu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment