Home »
NEWS
» Mbunge wa Viti Maalumu CUF, Mama Clara Diana Mwatuka Afariki Dunia kwa Ajali
Mbunge wa Viti Maalumu CUF, Mama Clara Diana Mwatuka Afariki Dunia kwa Ajali
Aliyekuwa Mbunge wa Viti maalumu CUF mama Mwatuka amefariki
dunia baada ya gari lake
kupinduka lilipokuwa
linashuka Makonde Plateu kuja Ndanda.
Gari ilikuwa inaendeshwa na dereva wake,ambaye inasemekana
ni mwanae.Maiti ipo chumba cha maiti Hospitali ya Rufaa, Ndanda Regional
Referral hospitali.
No comments:
Post a Comment