Taaswir a mbali mbali za Maalim Seif alipokua akihutubia katika kutano ulioandaliwa na (CSIS) jijini Washington DC
Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiongea jambo kujadili matokeo ya uchaguzi mkuu wa tarehe 25 Oktoba, 2015 kwenye mkutano ulioandaliwa na Centre for Strategic and International Studies (CSIS) siku ya Jumatatu June 13, 2016 ndani ya jengo la (CSIS) liliopo Rhode Island Ave, NW jijini Washington DC. (Picha zote kwa hisani na
Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akielezea hali halisi ya siasa za Zanzibar, katikati akiwa na Mkurugenzi wa CSIS Afica Bi Jennifer G. Cooke, pamoja na aliekua balozi wa Marekani nchini Tanzania Mark Green, ambae sasa hivi ni President, International Republican Institute
Katibu Mkuu wa chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akijibu maswali
Bi Mercedeh Momeni ambae ni Deputy Regional Director, Southern and East Africa, National Democratic Institute, akiongea jambo kuhusu mpango mzima wa mkutano huo
No comments:
Post a Comment