AHSANTE MHE. DIWANI OMAR KUMBI LA MOTO AHSANTE, MHE. MBUNGE WA JIMBO LA KINONDONI KWA KUSHIRIKI KAMA MGENI RASMI AHSANTE WANANCHI WA VINGUNGUTI KWA KUCHAGUA MAENDELEO AHSANTE VIONGOZI WA CUF KATA VINGUNGUTI KWA KUTANGAZA SERA INAYO TEKELEZEKA
Mhe. Omary Kumbilamoto Diwani wa Kata ya Vingunguti Leo Amekeleza Ahadi ya Chama Cha Wananchi Cuf kwa Wapiga kura wa Kata ya Vingunguti.
Ikumbukwe Wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu october 2015 Chama cha CUF kupitia Mgombea wake iliwaahidi wananchi Wakikichagua Chama cha CUF Tutahakikisha Vingunguti Wanakua na Gari ya Wagonjwa ya Kata husika Leo yametimia.
Mheshimiwa Kumbi la Moto akwia ndani ya gari alilolikabidhi kwa wana VIngunguti.
Picha ya Chini Mheshimiwa Omar Kubi la Moto akikabidhi jezi kwa timu ya Vijana wA Vingunguti.
Mheshimiwa Kumbi la moto anasema michezo inahitaji kusaidiwa kwa vijana wetu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Posts
- TAMKO LA UMOJA WA KLABU ZA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA JUU YA KUTEKWA KWA MWANDISHI WA HABARI WA SAUTI YA UJERUMANI ( DW ) SALMA SAID.
- CUF wamuandikia barua Mwenyekiti wa ZEC
- Sera ya kunena na Kutenda ya Wana CUF
- (no title)
- Ufungaji wa Kampeni ya uchaguzi mdogo wa Dimani.
- Salam kwa Mkururinza wa Zanzibar
No comments:
Post a Comment